Dr. Ipyana – Niseme Nini mp3 Audio Download
Talented Tanzanian Gospel recording Dr. Ipyana unleashed a new song titled, Niseme Nini. The artist who is also a medical doctor by profession have been endowed with grace to minister to the souls through heavenly inspired & devotional songs which express reverence for God.
Lyrics;
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda Zako hazielezeki
Umefanya hili, Umefanya lile, Umenipa jina
Baba ninakushukuru
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda Zako hazielezeki
Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina
Baba ninakushukuru
Niseme nini, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Umefanya mengi, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote Umetenda
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote Umetenda
Baba ninakushukuru
Baraka Zako hazihesabiki
Wema Wako hauzoeleki
Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina
Baba ninakushukuru
Baraka Zako hazihesabiki
Wema Wako hauzoeleki
Umefanya hili Umefanya lile Umenipa jina
Baba ninakushukuru
Niseme nini, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Niseme nini, siwezi kueleza
Bali ninakushukuru

Umefanya hili Umefanya lile
Umefanya hili Umefanya lile
Umefanya hili Umefanya lile Utafanya na lile
Bado ninakuamini
Umefanya hili Ulifanya lile Utafanya lile
Bado ninakuamini
Umefanya na hili Ulifanya lile Utafanya na lile
Bado ninakuamini
Matendo Yako kwangu ni mengi
Shuhuda Zako hazielezeki
Umefanya hili Umefanya lile
Umefanya hili na lile Hukuchoka Ukafanya na lile
Baraka zako hazihesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya lile Umefanya